iqna

IQNA

QURANI TUKFU
Mashindano ya Qur''ani
TEHRAN (IQNA) – Qari wa Misri ametwaa taji la toleo la pili la mashindano ya kimataifa ya Qur'ani ya "Awal Al Awail" nchini Qatar.
Habari ID: 3477886    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/13

STOCKHOLM (IQNA) – Mwanamume aliyepatikana na hatia ya kudhalilisha nakala ya Qu’rani Tukufu nchini Swedeni na kuweka video hiyo mitandaoni amewekwa hatiani kwa kuchochea chuki za kikabila dhidi ya Waislamu.
Habari ID: 3477728    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/14

Chuki dhidi ya Uislamu
Huku Waislamu katika kona zote za dunia wakiendelea kulaani na kupinga tukio la hivi karibuni la kuchomwa moto nakala ya Qur'ani Tukufu nchini Uswidi, Kitabu hicho kitukufu cha Waislamu kimechomwa moto na kutupwa nje ya Msikiti mmoja nchini Ujerumani.
Habari ID: 3477267    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/12

Sura za Qur'ani Tukufu /81
TEHRAN (IQNA) – Imesisitizwa katika vitabu vingi vya Uislamu na Qur'ani Tukufu kwamba matukio fulani yatatokea duniani mwishoni mwa dunia.
Habari ID: 3477071    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/30

Surah za Qur'ani / 7
TEHRAN (IQNA)- Mawazo na nadharia tofauti zimeelezwa kuhusu uumbaji wa mwanadamu na ulimwengu, lakini kwa mtazamo wa Kiislamu, Mwenyezi Mungu aliumba ulimwengu mzima na wanadamu katika kipindi fulani na wakati maalum; Kwa mujibu wa Uislamu, mwanadamu ameweka agano na Mwenyezi Mungu kabla ya kuumbwa awe khalifa au mrithi wa Mwenyezi Mungu katika ardhi.
Habari ID: 3475339    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/05